John 10:30-33

30 aMimi na Baba yangu tu umoja.”

31 bKwa mara nyingine Wayahudi wakainua mawe ili wampige nayo, 32lakini Isa akawaambia, “Nimewaonyesha miujiza mingi mikubwa kutoka kwa Baba yangu. Ni ipi katika hiyo mnataka kunipiga mawe?”

33 cWayahudi wakamjibu, “Hatukupigi mawe kwa sababu ya mambo mema uliyotenda, bali ni kwa kuwa umekufuru. Wewe ingawa ni mwanadamu unajifanya kuwa Mungu.”

Copyright information for SwhKC